Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mataifa ya Afrika yaendelea kusaka nafasi ya kushiriki AFCON 2024

Imechapishwa:

Jumamosi hii, miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na mwanamasombwi kutoka Tanzania, Karim Mandonga kupambana na mpinzani wake kutoka nchini Uganda jijini Nairobi, matokeo, matukio na uchambuzi wa mashindano ya kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu na Kombe la EURO mwaka ujao huko barani Ulaya.

Cape Verde ikimenyana na Angola kuelekea fainali ya AFCON mwaka 2024 nchini Cote Dvoire
Cape Verde ikimenyana na Angola kuelekea fainali ya AFCON mwaka 2024 nchini Cote Dvoire © AFP - JOSE COELHO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.