Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mashindano ya Tour du Rwanda yaendelea kupamba moto

Imechapishwa:

Raia wa Italia Manuele Tarozzi wa timu ya Green Project ameshinda mzunguko wa  7 wa mashindano ya kukimbiza  Baiskeli ya mwaka 2023  ya Tour du Rwanda. Mashindano hayo yatakamilika siku ya Jumapili. Tutakuletea pia matokeo na uchambuzi wa mechi za kuwania taji la klabu bingwa Afrika katika mchezo wa soka.

Thomas Bonnet  kutoka nchini Ufaransa
Thomas Bonnet kutoka nchini Ufaransa © Tour du Rwanda
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.