Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kombe la dunia: Hatua ya robo fainali yapamba moto

Imechapishwa:

Michuano ya hatua ya robo fainali, kuwania taji la dunia, katika mchezo wa soka, inaendelea nchini Qatar.Tunachambua nafasua ya Morocco dhidi ya Ureno na Ufaransa dhidi ya Uingereza. Croatia na Argentina tayari zimefuzu hatua ya nusu fainali.

Mchezaji wa Brazil, Neyma akitokwa machozi baada ya kuondolewa kwenye michuano ya kombe la dunia na Croatia
Mchezaji wa Brazil, Neyma akitokwa machozi baada ya kuondolewa kwenye michuano ya kombe la dunia na Croatia AFP - ADRIAN DENNIS
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.