Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Sadio Mane, ajumuishwa kwenye kikosi cha Senegal licha ya kuwa na jeraha

Imechapishwa:

Makocha wameanza kutangaza vikosi vya mataifa 32, yatakayoshiriki kwenye michuano ya kombe la dunia, kuanzia Novemba 20 nchini Qatar. Mshambuliaji wa Senegal Sadio Mane, amejumuishwa katika kikosi cha mwisho, licha ya kuwa na jeraha. Tunachambua hili kwa kina na mengine mengi.

Sadio Mane mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal
Sadio Mane mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal © AP Photo/Petr David Josek
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.