Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Ligi ya soka nchini Uingereza yasitishwa baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II

Imechapishwa:

Leo, tunakuletea uchambuzi wa kuahirishwa kwa michuano ya ligi kuu ya soka nchini Uingereza, baada ya kifo cha Malkia Elizabeth wa pili. Nchini Kenya, Nick Mwendwa asema amerejea ofisini kama rais wa Shirikisho la soka nchini humo.

Nembo ya ligi kuu nchini Uingereza
Nembo ya ligi kuu nchini Uingereza EPL
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.