Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya CECAFA kwa wanawake yaendelea kushika kasi nchini Tanzania

Imechapishwa:

Miongoni mwa matukio tunayojadili leo viwanjani ni pamoja na tumezungumzia Simba Queens ya Tanzania kufuzu nusu fainali ya mashindano ya CECAFA,  Ali Amour, msimamizi wa vilabu kwenye kamati ya mpito nchini Kenya ameelezea mipango waliyo nayo kabla ya msimu kuanza Agosti 27. Mkufunzi wa timu ya taifa ya raga ya Kenya wachezaji saba kila upande ataja kikosi cha Kenya.  

Timu ya taifa ya Kenya na Burundi zikichuana katika michuano ya kutafuta taji la CECAFA kwa upande wa wanawake nchini Uganda
Timu ya taifa ya Kenya na Burundi zikichuana katika michuano ya kutafuta taji la CECAFA kwa upande wa wanawake nchini Uganda Cecafa
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.