Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mashindano ya riadha ya Kip Keino yafana nchini Kenya

Imechapishwa:

Leo tunaangazia mashindano ya riadha ya mabara yanayofahamika Kip Keino yanayofanyika nchini Kenya, lakini pia michuano ya soka kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika.

Shelly-Ann Fraser-Pryce kutoka Jamaica mmoja wa wanariadha walioshiriki katika mashindano ya riadha ya Kip Keino yaliyofanyika Mei, 7 2022.
Shelly-Ann Fraser-Pryce kutoka Jamaica mmoja wa wanariadha walioshiriki katika mashindano ya riadha ya Kip Keino yaliyofanyika Mei, 7 2022. © REUTERS - DENIS BALIBOUSE
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.