Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Vipers yashinda taji la ligi kuu ya soka nchini Uganda

Imechapishwa:

Klabu ya Vipers Sports Club, imetangazwa mabingwa  wa ligi kuu ya soka. Wakati uo huo, maandalizi yameanza kuelekea mashindanio ya riadha ya bara Afrika.

Kocha wa klabu ya Vipers Sports Club Robertinho Oliveira akibebwa na mchezaji baada ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini humo, April 30 2022
Kocha wa klabu ya Vipers Sports Club Robertinho Oliveira akibebwa na mchezaji baada ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini humo, April 30 2022 © @VipersSC
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.