Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Droo ya michuano ya mataifa ya Afrika 2023 yafanyika

Imechapishwa:

Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limetangaza  droo ya michuano ya kufuzu kucheza fainali ya Afrika mwaka 2023 nchini Ivory Coast. Zimbabwe na Kenya ambazo zimefungiwa na FIFA nazo zimejumuishwa. Tunajadili.

Droo ya AFCON  2023 nchini Ivory Coast
Droo ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast © cafonline
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.