Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Drogba ajitosa kuwania urais wa Shirikisho la soka nchini Cote D'voire

Imechapishwa:

Aliyekuwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka ya Cote D'voire Didier Drogba, ni miongoni mwa wagombe sita wanaotafuta nafasi ya kuwania urais wa Shirikisho la soka nchini mwake. Tunachambua hili na mengine mengi.

Didier Drogba, anayewania urais wa Shirikisho la soka nchini Cote Dvoire
Didier Drogba, anayewania urais wa Shirikisho la soka nchini Cote Dvoire AFP/Archives
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.