Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mataifa ya Afrika yaanza safari ya mwisho kufuzu michuano ya kombe la dunia

Imechapishwa:

Mataifa ya Afrika yameingia kwenye hatua ya mwisho kusaka timu tano bora, zitakazofuzu kucheza fainali ya kombe la dunia nchini Qatar kati ya  mwezi Novemba-Desemba mwaka 2022.

Mshambualiji wa Misri Mohamed Salah akishrehekea bao baada ya Senegal baada ya kuishinda bao 1-0, Machi 25 2022
Mshambualiji wa Misri Mohamed Salah akishrehekea bao baada ya Senegal baada ya kuishinda bao 1-0, Machi 25 2022 AFP - KHALED DESOUKI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.