Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya AFCON yafika hatua ya robo fainali

Imechapishwa:

Michuano ya soka kuwania taji la mataifa ya Afrika, inaendelea nchini Cameroon na sasa imefika katika hatua ya robo fainali. Tutaangazia pia fainali ya michuano ya Tennis, kuwania taji la Australian Open.

Wachezaji wa timu ya taifa ya Cameroon
Wachezaji wa timu ya taifa ya Cameroon © Pierre René-Worms/RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.