Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Soka Afrika: Hatimaye michuano ya AFCON kuanza nchini Cameroon

Imechapishwa:

Maandalizi yamekamilika kuelekea michuano ya soka kwa mataifa ya Afrika nchini Cameroon, iliyoahirishwa kutoka mwaka 2021 kwa sababu ya janga la Covid 19.

Mchuuzi akiuza jezi za Cameroon kueleka kuanza kwa michuano ya AFCON Januari 9 2022 nchini Cameroon
Mchuuzi akiuza jezi za Cameroon kueleka kuanza kwa michuano ya AFCON Januari 9 2022 nchini Cameroon Daniel Beloumou Olomo AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.