Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya AFCON kuendelea kama ilivyopangwa kuanzi Juanuari 9, 2022

Imechapishwa:

Heri ya Krismasi hapo ulipo, miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na kauli ya rais wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF Patrice Motsepe ambaye amesema michuano ya kusaka ubingwa wa Afrika, itaendelea kama ilivyopagwa nchini Cameroon kuanzia Januari 9, 2022.

Uwanja wa Ahmadou Ahidjo jijini Yaounde nchini Cameroon
Uwanja wa Ahmadou Ahidjo jijini Yaounde nchini Cameroon AFP - DANIEL BELOUMOU OLOMO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.