Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Rais wa zamani wa Shirikisho la riadha duniani IAAF Lamine Diack afariki dunia

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tunayoangazia ni pamoja na:--Mzunguko wa pili wa michuano ya Shirikisho barani Afrika-Michuano ya soka kwa wanawake wasiozidi miaka 20 Afrika kufuzu kombe la dunia mwaka 2022.-Rais wa zamani wa Shirikisho la mchezo wa riadha duniani Lamine Diack afariki dunia na mshambuliaji wa Argentina na PSG  Lionel Messi ashinda taji la saba la Ballon d'or.

Marehemu Lamine Diack rais wa zamani wa Shirikisho la riadha duniani IAAF wakati wa uhai wake
Marehemu Lamine Diack rais wa zamani wa Shirikisho la riadha duniani IAAF wakati wa uhai wake - AFP/Archivos
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.