Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Italia mabingwa wa soka barani Ulaya

Imechapishwa:

Italia ndio mabingwa soka barani Ulaya. Mserbia Novak Djokovic ashinda taji la Wimbeledon katika mchezo wa Tennis nchini Uingereza. Tunaangazia hili na mengine mengi yanayotokea barani Afrika.

Wachezaji wa Italia washerehekea ushindi wa taji la soka barani Ulaya
Wachezaji wa Italia washerehekea ushindi wa taji la soka barani Ulaya Paul ELLIS POOL/AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.