Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Saisa za Kenya kuelekea uchaguzi wa Agosti 9

Imechapishwa:

Mgombea wa Urais nchini Kenya Raila Odinga ,amemteua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake kuelekea uchaguzi mkuu wa urais Agosti tisa.Unadhani ni kwa nini swala la ugombea wenza linafanywa kwa umakini sana?Haya hapa baadhi baadhi ya maoni yako.

Mgombea urais nchini Kenya Raila Odinga, na Mgombea mwenza Martha Karua
Mgombea urais nchini Kenya Raila Odinga, na Mgombea mwenza Martha Karua AFP - TONY KARUMBA
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.