Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Mzozo kati ya Kenya na Tanzania kuhusu mashirika yake ya ndege

Imechapishwa:

Msikilizaji, hatimaye nchi ya Tanzania imeondoa zuio ililoweka juma hili kwa ndege za shirika la Kenya KQ, uamuzi iliyokuwa imeuchukua baada ya Nairobi kukataa kutoa kibali kwa ndege za mizigo za shirika la Tanzania kushusha na kupakia kutokea Kenya.Uamuzi huo msikilizaji ulisababisha mawaziri wa pande zote kukutana na Jumanne ya wiki hii wakakubaliana kumaliza tofauti zilizojitokeza na sasa safarai za ndege za Kenya na zile za Tanzania zitaruhusiwa. 

Rais wa Kenya, William Ruto, akiwa na mwenzake wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Kenya, William Ruto, akiwa na mwenzake wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. © State House Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.