Gurudumu la Uchumi
Ni kufa au kupona, vita dhidi ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi barani Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Msikilizaji kwa mujibu wa tume ya maendeleo ya uchumi ya umoja wa Mataifa, kila mwaka bara la Afrika linapoteza kiasi cha dola za Marekani bilioni 88 ambayo ni sawa karibu asilimia 3.7 ya pato ghafi kutokana na biashara haramu ikiwemo utakatisha utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.Makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii inaangazia suala hili kwa kina, tumezungumza na Dr Rose Mnongya, mtaalamu na mhadhiri wa uchumi katoka chuo kikuu cha St Augustine, jijini Mwanza, Tanzania.