Gurudumu la Uchumi
Uganda yaanza rasmi uchimbaji wa mafuta kibiashara, itanufaika vipi
Imechapishwa:
Cheza - 09:38
Kwa mujibu wa Serikali ya Uganda, inatarajiwa kutenegeneza mapato ya karibu dola bilioni 66 kutokana na shughuli hiyo na kiasi kingine cha dola bilioni 3 kutokana na kuchakata mafuta ghafi katika kipindi cha miaka 25 ijayo, hii ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu ya taifa hilo, kutumia rasilimali zake kujinufaisha.Tumezungumza na Profesa Wetengere Kitojo, mtaalamu na mchambuzu wa masuala ya uchumi na umasikini akiwa nchini Tanzania, kuangazia kwa kina hatua hii ya nchi ya Uganda.