Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Afrika na harakati ya kupunguza gharama ya usafiri wa anga, biashara

Imechapishwa:

Juma lililopita jiji la Nairobi, lilikuwa mwenyeji wa mkutano wa viongozi na wataalamu kutoka umoja wa Afrika na jumuiya nyingine za kikanda zaidi ya nane, ambapo walijadiliana na kukubaliana kwamba, mataifa ya Afrika lazima yatoe motisha kwa uwekezaji wa kibiashara hasa kwenye kilimo, uchumi wa buluu na mazingira ili kupunguza gharama kwa bidhaa za chakula ambazo zinaendelea kuongezeka barani Afrika.

Mkuu wa kamisheni ya umoja wa Afrika, Mussa Fakhi Mahamat, akiteta jambo na Dr Peter Mathuki, katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nairobi, Kenya 09 /01 / 2023
Mkuu wa kamisheni ya umoja wa Afrika, Mussa Fakhi Mahamat, akiteta jambo na Dr Peter Mathuki, katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nairobi, Kenya 09 /01 / 2023 © Jumuiyaeac
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.