Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Maoni ya washiriki katika kongamano la idhaa za kiswahili duniani sehemu ya mwisho

Imechapishwa:

Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le parler francophone na Muziki, na leo tunahitimisha mlolongo wa Makala kuhusu kongamano la idhaa za kiswahili duniani lililofanyika huko Mbeya, na kwenye le parler francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Alliance Francaise ya Arusha na Nairobi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki King Kaka kutoka nchini Kenya.

Katibu mkuu wa barakaza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA (kushoto) daktari Mwahija Juma na katibu mkuu wa baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA (Kulia) bi Consolata
Katibu mkuu wa barakaza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA (kushoto) daktari Mwahija Juma na katibu mkuu wa baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA (Kulia) bi Consolata © @billy_bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.