Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya Bendi ya Lelele Africa Music na shindano la filamu kwa kutumia simu ya mkononi

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Makala Changu changu chako chako changu, ambapo leo nakuletea historia fupi ya bendi ya Lelele AfricA Music pamoja na shindano la filamu kwa kutumia simu linalofanyika Huko Misri, na kwenye le parler francopjhone tutaangazia kuhusu tamasha la Mombasa Ocean Festival lilioandaliwa kwa ushirkinao na Unbalozi wa Ufaransa nchini Kenya na Somalia, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Afende Ready Kutoka hko Bukavu. kumbuka kutufollow pia kwa instagram @billy_bilali

Bendi ya Muziki wa taaraba ya asili Lelele Africa
Bendi ya Muziki wa taaraba ya asili Lelele Africa © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.