Changu Chako, Chako Changu
Muandishi wa vitabu Abdourahman Waberi atembelea studio za rfi kiswahili Nairobi
Imechapishwa:
Cheza - 19:49
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo ni spisho kabisa tunazungumzia juu ya maandalizi ya wiki ya Francophonie tumemualika studio muandishi wa vitabu Abdurahamani Waberi raia wa Ufaransa mwenye asili ya Djibouti kuzungumzia hasa kitabu chake Les Etats Unies d’Afrique, na kwenye kipengele cha Muziki tutamzungumzia mwanamuziki Pierrette Adam. Kwenye Makala haya ameshiriki pia mkurugenzi wa rfikiswahili bwana Robert Minangoy. Karibu.