Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya watu wa kabila la wapemba wa Kenya baada ya kuidhinishwa kuwa kabila la 43

Imechapishwa:

Ni furaha tele tunakutana tena katika Makal haya ya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii asubuhi ambapo leo nakuletea Historia ya watu wa Kabila la wapemba nchini Kenya ambao hivi karibuni rais wa Kenya William Ruto aliwaidhinisha kuwa kabila rasmi la nchi hiyo. Na kwenye le Parler francophone tutaangazia hasa kuhusu tamasha la kukuza muziki wa Bingo Fleva liliandaliwa na Alliance francaise ya Dar es salaam kwa ushirikiano na Mr Sugu, na kwenye Muziki tutmuangazia mwanamuzi Kor Akim

Makao makuu ya jamii ya Wapemba,Kichaka Mkwaju ,kaunti ya Kwale
Makao makuu ya jamii ya Wapemba,Kichaka Mkwaju ,kaunti ya Kwale © Carol Korir
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.