Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Francophonie na mshindi wa tuzo ya RFI prix decouverte

Imechapishwa:

Makala hii imeanzia nchini Kenya ambako wanamuziki kutoka kabila la luo walikusanyika katika bustani ya Alliance Francaise Jijini Nairobi kuadhimisha miaka minne ya kifo cha mwanamuziki Job Seda, kwa jina maarufu kama Ayub Ogada. Kwa kuwa Machi ni mwezi wa La Francophonie ulimwenguni, RFI Kiswahili ilikuwepo hapo Alliance kurekodi vipindi mbali mbali mbele ya wanafunzi wa lugha ya kifaransa. Hatimaye, tutarejelea sehemu ya pili mahojiano ya mshindi wa tuzo ya RFI Prix Découverte 2021, Alesh pamoja na vijisehemu vya tamasha lake huko Paris february 28 2022.

Mwanamuziki Ayub Ogada akitumia ala ya Nyatiti.Alifariki dunia February 2019
Mwanamuziki Ayub Ogada akitumia ala ya Nyatiti.Alifariki dunia February 2019 © Facebook
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.