Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Rais Samia aruhusu vyama vya upinzani kufanya mikutano ya siasa

Imechapishwa:

Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tuna tuama nchini Tanzania kuangaza na kulika kuanza tena kwa mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini humo nini matarajio na mapokeo ya wafuatilizi wa maswala ya siasa katika taifa hili lililo shuhudia ukimya wa miaka saba yakutofanyika kwa mikutano ya hadhara mwandalizi na msimulizi wa makala haya naitwa Martin Nyoni nasema karibu jamvini tuwe sote hadi tamati .

Mkutano wa hadhara wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema.
Mkutano wa hadhara wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema. © CHADEMA
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.