Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Tanzania:Juhudi za wabunifu katika kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira

Imechapishwa:

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi.

Uchomaji wa mkaa imetajwa kuongoza katika uchafuzi wa mazingira.
Uchomaji wa mkaa imetajwa kuongoza katika uchafuzi wa mazingira. © www.unep.org
Matangazo ya kibiashara

Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tanzania kutegemea nishati ya majani. Nishati ya kupikia ndiyo inayoongoza kwa matumizi ya biomasi katika kaya ikilinganishwa na sekta nyingine kama vile ujenzi na kilimo sekta ya msingi.

Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:58
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.