Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Yanayojiri viwanjani Jumamosi hii

Imechapishwa:

Leo kwenye Makala ya Jukwaa la Michezo tuliyokuandalia ni pamoja na-Mashindano ya kuwania taji la mchezo wa kikapu barani Afrika yanayoendelea nchini Rwanda.-Michuano ya soka kuwania taji la klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa upande wa wanawake.-Droo ya michuano ya soka, klabu bingwa barani Afrika.-Christiano Ronaldo kurejea Manchester United-Mashindano ya Olimpiki kwa walemavu yanayoendelea jijini Tokyo nchini Japan

Mashindano ya Olimpiki kwa walemavu yanayoendelea jijini Tokyo nchini Japan.
Mashindano ya Olimpiki kwa walemavu yanayoendelea jijini Tokyo nchini Japan. Charly TRIBALLEAU AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.