Pata taarifa kuu
UFILIPINO-TYPHOON HAIYAN

Mataifa duniani yatoa misaada zaidi kwa nchi ya Ufilipino kufuatia madhara ya kimbunga cha Typhoon Haiyan

Serikali ya Ufilipino imetangaza janga la kitaifa kufuatia nchi hiyo kukumbwa na kimbunga cha Typhoon Haiyan ambapo inakadiriwa kuwa watu zaidi ya elfu moja wamepoteza maisha na wengine maelfu hawana mahali pakuishi.  

Wanajeshi wa Marekani wakiwa wamewasili nchini Ufilipino kutoa msaada kwa waathirika wa kimbunga cha Typhoon Haiyan
Wanajeshi wa Marekani wakiwa wamewasili nchini Ufilipino kutoa msaada kwa waathirika wa kimbunga cha Typhoon Haiyan Reuters
Matangazo ya kibiashara

Serikali ya Marekani, Uingereza, Australia na Umoja wa Mataifa zimetangaza kupeleka misaada zaidi nchini Ufilipino kuwasaidia mamia ya wananchi ambao wanahitaji msaada wa kibinadamu baada ya kuathiriwa na kimbunga hicho.

Ikulu ya washington imetangaza kupeleka wanajeshi wake zaidi ya 90 nchini Ufilipino pamoja ndege za kijeshi za misaada kusaidiana na wanajeshi wa Serikali kuwafikia watu walioathirika na kimbunga hicho.

Nchi ya Uingereza yenyewe imepeleka meli kubwa za kijeshi zilizosheheni chakula cha msaada pamoja na ndege kubwa za kijeshi na wanajeshi wake ambao tayari wamewasili nchini humo.

Zaidi ya nchi mia mbili zimetangaza kupeleka misaada ya kibinadamu nchini Ufilipino wakati huu ambapo Serikali ya nchi hiyo ikitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuharakisha misaada ya kibinadamu.

Mamia ya wananchi wameendelea kupokea misaada huku wengine wakipatiwa matibabu kwenye hospitali za muda ambazo zimefunguliwa kwa lengo la kunusuru maisha ya watu ambao walijeruhiwa vibaya kutokana na kimbunga hicho.

Eneo la mji wa TACLOBAN ndilo limeelezwa kuathiriwa zaidi na kimbunga hichi ambapo Umoja wa Mataifa unasema watu zaidi ya elfu mbili pekee wameripotiwa kupoteza maisha kwenye mji huo.

Licha ya juhudu za misaada ya chakula mamia ya wananchi kwenye maeneo mengi wanadai hawajaweza kula kwa zaidi ya siku nne kutokana na kushindwa kufikiwa na mashirika ya misaada ama wanajeshi ambao wamepelekwa kwenye eneo hilo.

The Pentagon sent Marines and equipment while Britain was to send a ship and a transporter plane to assist with the relief effort following the typhoon, which may have killed more than 10,000 people in what is feared to be the country's worst natural disaster.

Even Vietnam, despite coping itself with a mass evacuation programme as a weakened Haiyan swung through its territory Monday, provided emergency aid worth $100,000 and said it "stands by the Philippine people in this difficult situation".

The relief operation was focused on the city of Tacloban on Leyte island, four days after one of the biggest storms in recorded history demolished entire communities across the central Philippines and left countless bodies as well as gnawing desperation in its wake.

Delivering on a promise of quick help from President Barack Obama, about 90 US Marines and sailors based in Japan flew into Tacloban aboard two C-130 Hercules transport aircraft, after receiving a bird's eye view of the immense scale of destruction across Leyte.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.