Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kundi la waasi wa M23 latangaza kusitisha uasi wake nchini DRCongo

Imechapishwa:

Katika Wimbi la Siasa juma hili tunaangazia hatua ya waasi wa kundi la M23 mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kutangaza kusitisha uasi wake baada ya ngome zao kudhibitiwa na majeshi ya serikali ya Kinshasa yanayoungwa mkono na vikosi vya Umoja wa Mataifa.

Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.