Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Hali ya Siasa nchini DR Congo kubwa likiwa ni mazungumzoya amani yanayoendelea Kampala baina ya Serikali na Waasi wa M23

Imechapishwa:

Wadau wameendelea kuguswa na mazungumzo yanayosuasua huko Kampala nchini Uganda baina ya Kundi la Waasi la M23 na Ujumbe wa Serikali ya Kinshasa huku wakiamini kwenye mwendo huo wa kinyonga suluhu inaweza isifikiwe!! Wadau wengi wanaamini kusuasua kwa mazungumzo hayo kumechangia kuendelea kushuhudiwa kwa machafuko katika eneo la Mashariki mwa DRC!!

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.