Wimbi la Siasa
Mvutano juu ya eneo halali la mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa waendelea kutafutiwa suluhu
Imechapishwa:
Cheza - 10:00
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea kusisitiza mgogoro wa mpaka kwenye Ziwa Nyasa na majirani zao wa Malawi utasuluhishwa kwa njia ya mazungumzo na amewaondoa hofu wananchi wanaoishi nje ya nchi kutokuwa na wasiwasi wowote ju ya hilo!!