Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mauaji ya wafugaji na wakulima Tana River nchini Kenya yaleta hofu ya usalama huku Waasi wa Seleka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wakizidi kusonga mbele

Imechapishwa:

Jeshi la Polisi nchini Kenya limewataka wale wote ambao wanamiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja kabla ya kuanza mchako ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usalama nchini humo, Waasi wa Seleka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameendelea kuipa wakati mgumu serikali ya Bangui kutokana na kutwaa Miji zaidi huku serikali ikiomba msaada ili iweze kukabiliana nao, Wananchi wa Misri wamepitisha rasimu ya katiba mpya katika nchi hiyo licha ya wapinzani kugomea zoezi la kupiga kura katika duru la pili la kura ya maoni hatua ambayo imemfanya Rais Mohamed Morsi kutoa wito wa kufanyika mazungumzo na Wanaharakati nchini India waendeleza maandamano yao wakishirikiana na wananchi kuishinikiza serikali kuchukua hatua kudhibiti magenge ya wabakaji yaliyoota mizizi katika Jiji la New Delhi!!

Wahudumu wa Shirika la Msalaba Mwekundu wakimsaidia majeruhi wa machafuko ya wafugaji na wakulima huko Tana River nchini Kenya
Wahudumu wa Shirika la Msalaba Mwekundu wakimsaidia majeruhi wa machafuko ya wafugaji na wakulima huko Tana River nchini Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.