Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Sudan Kusini yatangaza kuondoa Majeshi yake Heglig huku wananchi wa Ufaransa wakipiga kura kuchagua rais

Imechapishwa:

Makala ya Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii yatakupa nafasi ya wewe msikilizaji kuja mambo yaliyogonga vichwa ikiwemo ni pamoja na mapigano kati ya Sudan na Sudan Kusini, Waangalizi wa Umoja wa Mataifa UN wapo nchini Syria, mashambulizi ya Kundi la Taliban yazua hofu nchini Afghanistan, majaribio ya makombora ya masafa marefu yafanyika na tutamalizia na uchaguzi wa urais nchini Ufaransa.

Rais wa Sudan Omar Hassan Al Bashir akihutubia maelfu ya wananchi wa taifa hilo ambapo alitangaza vita dhidi ya Sudan Kusini
Rais wa Sudan Omar Hassan Al Bashir akihutubia maelfu ya wananchi wa taifa hilo ambapo alitangaza vita dhidi ya Sudan Kusini REUTERS/Mohamed Nureldin Abdallah
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.