Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Katiba inayopendekezwa yakabidhiwa kwa marais nchini Tanzania

Imechapishwa:

Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni liliwasilisha kwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Dk. Ali Mohmed Shein baada ya kukamilisha kazi yake mjini Dodoma. Fuatilia Makala ya Wimbi la Siasa na mtayarishaji na mtangazaji wako Victor Robert Wile......

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzubar, Dr Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzubar, Dr Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Ikulu/Issa Michuzi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.