Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mgawanyiko katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ?

Imechapishwa:

Nchi za Kenya, Uganda na Rwanda zimeanzisha miradi ya miundombinu wanayosema itasaidia kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki.Hatua hii imezikasirisha nchi za Tanzania na Burundi ambazo zinaona kuwa zimetengwa na miradi hiyo inavunja mkataba wa Jumuiya hiyo.Je, kisiasa huu ni mwelekeo wa kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ?Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa juma hili.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.