Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Benki ya Dunia yatoa ripoti ya uchumi wa Dunia

Imechapishwa:

Benki ya Dunia, WB hivi karibuni ilitoa ripoti ya ukuaji wa uchumi wa Dunia na kuangazia maeneo mbalimbali. Leo hii makala ya Gurudumu la Uchumi itamulika kwa kina kuhusu ripoti hiyo na masuala kadhaa yaliyoibuliwa.

Makala ya Gurudumu la Uchumi
Makala ya Gurudumu la Uchumi RFIkiswahili
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.