Pata taarifa kuu
UFILIPINO- UHURU WA WANAHABARI

Ufilipino: Mwanahabari maarufu Maria Ressa afutiwa mashtaka

Mwanahabari na mwandishi maarufu kutoka nchini Ufilipino Maria Ressa ambaye amewahi kushinda tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2021, amefutiwa mashtaka ya ukwepaji wa kulipa kodi.

Maria Ressa, Mwanahabari wa Ufilipino
Maria Ressa, Mwanahabari wa Ufilipino AP - Alexander Zemlianichenko
Matangazo ya kibiashara

Ressa, anayemimiki tovuti ya Rappler, amekuwa akidai kuwa, mashtaka dhidi yake yalichochewa kisiasa na yalilenga kumnyamazisha.

Baada ya kufutiwa mashtaka, alikuwa na kauli hii.

“Hatua hii ya kufutiwa mashtaka sio tu ushindi wangu ila ni kwa kila raia yeyote wa Ufilipino.”amesema Maria Ressa.

Mwanahabari na mwandishi maarufu kutoka nchini Ufilipino Maria Ressa, na mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2021.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.