Pata taarifa kuu

ECOWAS yapitisha vikwazo vikali dhidi ya utawala wa kijeshi Mali

Jumuiya ya Kiuchumi Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, imekutana katika mkutano wa usio wa kawaida mjini Accra, Ghana, siku ya Jumapili na kuidhinisha maamuzi yaliyochukuliwa na Umoja wa Kiuchumi na Fedha wa Afrika Magharibi (WAEMU) saa chache kabla.

Mkutano wa kilele wa Umoja wa Kiuchumi na Fedha wa Afrika Magharibi (WAEMU), Jumapili hii, Januari 9, mjini Accra, Ghana, huku faili ya Mali ikiwa mezani.
Mkutano wa kilele wa Umoja wa Kiuchumi na Fedha wa Afrika Magharibi (WAEMU), Jumapili hii, Januari 9, mjini Accra, Ghana, huku faili ya Mali ikiwa mezani. © Serge Daniel/RFI
Matangazo ya kibiashara

Nchi za Afrika Magharibi zimeamua kuzuia mali ya nchi ya Mali inayowekwa katika benki ya BCEAO, kufunga mipaka kati ya Mali na nchi wanachama wa ECOWAS lakini pia kusimamisha shughuli za kiuchumi na Bamako isipokuwa bidhaa za matibabu na muhimu. ECOWAS pia imeamua kuwaondoa mabalozi kutoka nchi zote wanachama nchini Mali pamoja na vikwazo vingine kuhusu usaidizi wa kifedha.

Taarifa zaidi zinakuja,

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.