Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Imechapishwa:

Makala Changu chako chako changu juma hili mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ilikuwaje hadi mataifa hayo kuungana, hii kiwa ni sehemu ya kwanza. na kwenye kiupengele cha utamaduni utamsikia raia wa Ubelgiji akizungumzia kuhusu utamaduni wa kutengezneza vipuri kwa kutumia plastiki. usikosi pia kutufollow kwa isntagram kwa kuandika @billy_bilali

Bilali amempokea Jokyo kutoka Ubelgiji kuzungumzia maswala ya utamaduni wa kutengeneza vipuru kwa kutumia plastiki
Bilali amempokea Jokyo kutoka Ubelgiji kuzungumzia maswala ya utamaduni wa kutengeneza vipuru kwa kutumia plastiki Bilali RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.