Tunasikia kutoka kwa Waafrika kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na kwingineko duniani, kuhusu ushindi wa Donald Trump baada ya kumshinda Hillary Clinton katika uchaguzi wa urais nchini Marekani.
Vipindi vingine
-
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13 -
10:00
-
Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu
Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.25/04/202409:51