Juma hili tunaangazia maisha ya mwanandondi maarufu wa uzito wa juu kutoka Marekani, Mohammad Ali, aliyekuwa pia mwanaharakati aliyetetea haki na usawa kati ya watu weusi na weupe nchini Marekani. Mwanamichezo huyo maarufu wa karne ya 20 alitikisa sio tu ulimwengu wa michezo, bali pia, ulimwengu wa kisiasa na kijamii. Sikiliza taarifa nono ya mwanandondi huyo kutoka Marekani.
Vipindi vingine
-
Sehemu ya tatu ya Makala kuhusu kongamano la nne la idhaa za Kiswahili duniani
Ni Jumapili nyingine tunakutana katika Makala Changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, Utamaduni, le parler francophone na Muziki, leo ninakuletea mazungumzo kuhusu ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili, ikiwa ni kauli mbiu ya kongamano la nne za idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika mkoani Mbeya Mwezi Machi. Na kwenye le parler francophone nitakuletea mradi wa Creation Afrika unaonadaliwa na Allliance francaise ya Nairobi14/04/202420:00 -
Kongamano la idhaa za kiswahili duniani, umuhimu wa kujifunza lugha ya Kiswahili
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na Msimamizi wa kituo cha radio China Kimataifa ambaye ni raia wa China kufahamu zaidi kwanini alivutiwa na swala la kujifunza lugha ya kiswahili, ni katika muktada wa kongamano la idhaa za kiswahili duniani lililofanyika Mbeya nchini Tanzania. Kwenye Muziki utasikiliza wimbo wa mwanamuziki Lupman mwenye asili ya Burundi anaefanya kazi yake huko Sweeden.09/04/202419:57 -
Kongamano la nne la idhaa za kiswahili duniani "Tasnia ya habari na ubidhaishaji Kiswahili duniani"
Karibu kuungana nami katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Makala ambyo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea sehemu ya kwanza ya mazungumzo kuhusu Kongomano la nne la idhaa za Kiswahili duniani. Kwenye le Parler francophone nitakueleza ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Idd Aziz kutoka nchini Kenya.31/03/202420:00 -
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa sehemu ya pili
Makala haya yameandaliwa na Florence Kiwuwa kwa ushirikiano na Ruben Lukumbuka.25/03/202419:45 -
Historia ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani na namna ilivyosherehekewa mwaka huu wa 2024
09/03/202420:00