Jumanne hii katika Makala ya Habari Rafiki, tunajiuliza je, serikali ya Nigeria imelemewa na kundi la kigaidi la Boko Haram ?Katika mashambulizi ya hivi karibuni, kundi hilo limetekeleza shambulizi la kujitoa mhanga katika Shule moja ya Wavulana Kaskazini mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya wanafunzi 47.Sikiliza maoni ya baadhi ya wasikilizaji wa RFI Kiswahili siku ya Jumanne.
Vipindi vingine
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?07/05/202410:03 -
10:06
-
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13