Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Sudan Kusini yapokea silaha kutoka China

Imechapishwa:

Seriakli ya Sudan Kusini imekiri kuwa imepokea silaha kutoka nchini China kama njia ya kuimarisha jeshi lake ambalo linakabiliana na waasi wanaoongozwa na Rieky Machar. Makala ya Wimbi juma hili inajikita kuangazia hali ya mambo nchini Sudan Kusini na kuchambua kwa kina kama hatua hiyo ina tija wakati huu mgogoro bado ukiendelea nchini humo. Ungana na Victor Robert Wile katika makala hayo............

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.