Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Mgogoro wa Sudan Kusini bado wakufuta huku nchi hiyo ikitimiza miaka mitatu ya uhuru

Imechapishwa:

Sudan Kusini Taifa changa kuliko yote duniani, Julai 09 ya kila mwaka huadhimisha siku ya uhuru wake baada ya kujitenga na wenzao wa Sudan Karthoum mwaka 2011. Hata hivyo nchi hiyo inaadhimisha siku ya uhuru wake bado ikiwa imegubikwa na wimbi la vita. Makala ya Wimbi la Siasa juma hili inakupa picha ya kile kinachoonekana sasa nchini humo makinika na Victor Robert Wilekupata ukweli juu ya Sudan Kusini.............

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.