Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Wabunge wa Bunge la Katiba watakiwa kurudi bungeni kukamilisha mchakato wa katiba mpya

Imechapishwa:

Mchakato wa Katiba mpya unaendelea nchini Tanzania huku baadhi ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba hususani umoja wa katiba ya wananchi, UKAWA wakiendelea na msimamo wao wa kutorejea bungeni. Lakini swali la kujiuliza hapa ni je katiba mpya itapatikana wakati kukiwa na misimamo ya kichama? Fuatilia makala haya na Victor Robert Wile upate kujua mustakabali wa mchakato wa katiba mpya...............

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.