rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Kombe la Dunia Urusi 2018 Urusi FIFA

Imechapishwa • Imehaririwa

Uwanja wa Luzhniki utakaoandaa mechi ya ufunguzi na fainali, Kombe la dunia

media
Uwanja wa Luzhniki utakaoandaa mechi ya ufunguzi na fainali ya Kombe la Dunia FIFA.COM

Luzhniki. Uwanja huu unapatikana katika Jiji la Moscow.


Uwanja huu utaandaa michezo saba ukiwemo wa ugunguzi baina ya Urusi na Saudi Arabia, mchezo wa fainali pia utachezwa katika uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 80,000.

Mechi nyingine za hatua ya makundi zitakazochezwa ni baina ya Ujerumani na Mexico Juni 17,Ureno na Morocco Juni 20 na Denmark na Ufaransa Juni 26, mechi za nusu fainali pia zitachezwa kwenye Uwanja huu.