rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Afrika Ya Mashariki
rss itunes

Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Na Victor Melkizedeck Abuso

Leo tunaangazia  makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika  Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi
Elimu ya juu ya  pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.

Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda

Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki

Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili)

Miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Baba wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Nyerere

mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati mjini Bujumbura

Kurejea bungeni kwa wabunge wa bunge maalum la katiba

Sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania