rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Nyumba ya Sanaa
rss itunes

Hussein Jumbe awataka Vijana wanaofanya Muziki wa Dansi kufuata Nyayo zao

Na RFI

Sanaa ya Muziki wa Dansi nchini Tanzania ilianza kabla ya nchi hiyo Kupata Uhuru 1961 ,Miaka ya 1970, 1980 ndipo waliibuka wanamuziki wengi miongoni mwao ni pamoja na Mbaraka Mwishehe, Marijani Rajabu na Hussein Jumbe nae alichipukia hapo.

Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, Akizungumza na Hussein Jumbe kuhusu safari yake ya Muziki.

Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania

Malkia Queens; Wasichana Wasanii wanaojivunia kuwa Wachoraji

Wawanawake waaswa kujitokeza kufanya Sanaa za Mikono

Monalisa;Kazi za Sanaa za Wanawake hazijanadiwa vya kutosha

Mloka;Ushairi wa zamani ulikuwa unakonga nyoyo za Wengi

S.Kide;Muziki wa Singeli Utafika mbali kama wawekezaji watajitokeza

Maida;Sanaa ya Ubunifu wa Mavazi imeniwezesha kuwa Mbunifu wa Majengo

Usambazaji wa Filamu wawa kikwazo cha Sanaa ya Uigizaji Kuendelea Tanzania

Cocodo; Vijana Hawajawekeza kufanya Muziki wa Asili kikamilifu

Kimbokota; Sanaa ya Ubunifu haijawekezwa ipasavyo Mashuleni

Sisi Tambala Band wataka Vijana kujikita katika Muziki wa Asili